Prix public : 7,00 €
Mola, ewe Mola wangu Sina mwengine mlinzi Wewe ni himaya yangu Na msiri na mpenzi, Mwonevu amenishika Na kunipa bakora Ndipo nikalalamika Nipate suluhu bora, Naiona sasa njia Na nyeupe kama nuru Nyororo na asilia Kama wimbo wa uhuru.